#song request, from anyone having it.

Wepukhulu

Village Elder
#1
Natafuta wimbo wa Moreno Batamba, band ni Orchestra First Moja unaitwa MAPENZI YA KWELI NAYA UONGO HUJULIKANA WAZI WAKATI WA SHIDA.

tafadhali saidia hata link if possible, ju nimetafuta Google na utube sijapata
 

Wepukhulu

Village Elder
#6
is that the name of the song or part of the lyrics?
The lyrics goes like:

NAONA HERI TUWACHANE MIMI NA WEWE NIMESHAVUMILIA YA KUTOSHA...

MAPENZI YA KWELI NAYA UONGO
HUJULIKANA WAZI WAKATI WA
SHIDA... UKIFUTWA KAZI ITAJULIKANA...
UKIKOSA PESA, ITAJULIKANA...