Soul kunyamba

:D:D Hii mbio Mambo bad
[ATTACH=full]247284[/ATTACH]

tragic…ni moti ya kayole iyo…sio

:mad::mad:… Na wanaume wazima wamekalisha haga uko ndani wakingoja kuangushwa.

Hizi ni zile za far east, 19/60. Kayole kwa malori.

Hiyo FH kama ni yangu, afadhali niiweke body ya mzigo iwe inapiga seti pale Kamukunji ikingoja mizigo.

Shait.

Iq ya kondoo

I saw one at manyanja rd kedo 1800hrs wueh Ile mbio ilikuwa inapelekwa na sahio karao wako hapo mbele watching. Prime East Sacco