SOUTH AFRICAN ACCENT.

Pale campus nikiwa 3rd year…kuna slay queen alikuwa ameweza kuweza, but alikuwa 1st year second semister. Alikuwa ameubwa kweli…mpaka sahi sijawahi ona something so beautiful like her.

Mafisi and Rich kids walichase lakini hakuna mtu manifesto yake ilisikilizwa. wakadeclare huyo dem hawawezekani. so kuna hii time tulikuwa kirende cha maboys halafu huyo demu akapita, alikuwa anaitwa Natasha. mimi nikawasho " huyo natasha nitakula". kicheko walicheka…nikaitwa peasant, beta male…etc eti alpha male wameshidwa mimi ni nani. mpaka wakabet …nikislice huyo demu kila mtu ananipa thao…walikuwa maboys wanane…hiyo ni 8k straight.

Mission ikaanza nikawa hunter. juu maninja wameshindwa nikachange strategy. one afternoon nikaspot my prey…niliona natasha pavement anaenda daro…nikachase.

“hi” i said.

nikaona ka demu analenga…kuangalia mbele nacheki jeshi ya boys wangu wanakam…nikajua nikilengwa embrassment nitapata ni noma.

“hey can you just pretend you are tallking to me, so that those guys can pass, please dont embrass me.” i pleaded with her in south african accent.

Natasha akaangalia ma boys wangu wakipita then akasmile…nikajua hii nitaua. instincts. niggas just nodded at me while they passed.

“wewe ni nani??” she asked.

nikasema " what" nikajifanya sijui kiswahili. from the look on her face…i knew she was surprised.

“who a you” she asked.

“oooh !!”. i exclaimed, " my name is peter ndondolozi" i lied.

"ndondolozi?? what kind of name is that?? " she asked curiously.

Hapo sasa ndio mwanaume humwaga profile yako yote.

“Oooh!! hahaha” i laughed sheepisly “ndondolozi is a south african name…we moved here in kenya three years ago from SA, my father works for an NGO” i added in SA accent.

demu alichangamka aje…akamwaga maswali …how come you study here?? do ever go back to SA?? …

nilijibu hiyo maswali juu i was prepared for those kind of questions. nilimsho my mum still lives in SA so long holiday mm hudrop SA. nikaona ako curious and satistified, I excused myself …nikapewa number. n i promised to look for her. akaishia daro.

kumbe maboys hawakuwa far…walikuwa wanafollow hiyo episode wakiwait for my downfall but it never came. the good news hawakusikia kitu nilikuwa nasema. but dem alikuwa tu amechangamka.

FFWD…tulishinda tukichat for 2 days nikinsist akam kwa man cave. day 3 akatokea…kejani nilikuwa tu nasikiliza hizi house music za SA…akina Heavy K(Drumboss), Oskido, Uhuru some mafikizolo…so alishinda akiniuliza what does it mean…(lyrics) najibu tu , nilimeenda library nimetoka na books za kina nelson mandela. mpaka nilienda bank nikaexchange thao yangu nnikapewa South African rands.
nikaziekelea tu hapo bed. everything was perfect as i planned. And it worked…

within a week nilikuwa nimefikisha threshold kadhaa… hakuna mtu aliamini chuo…hiyo 8k sikuwahi pewa. ni matusi tu na sifa ndio nilipewa. Tukakuwa kimoja na huyu demu…but nilijua very soon atafind out. n the day came.

time fulani tuko kejani na maboys tukinywa …story za futaa zimeshika…hapo na argue venye arsenali tunabeba ligi (kwa kiswahili) …phone yangu ikaring…matha alikuwa ananikol. mimi huyo nakoroga kibukusu yangu yote… .hii time wasee wametulia but wameshtuka… ujinga yangu yote nathink wanabehave juu niko kwa kol. kumbe natasha ako kwa mlango …

:D:D:D

ango hii story imeweza, but??

Ubukusu itakua nanii. Hekaya poa.

Hapo swafi kabisa,pata like,lakini huyo dame alikuwa ame ubwa akawa na tash

Things we do for pussy…

Bado rands ziko

Haha

Haha! Pata like

so she was just one of those ‘I hate kenyan men hoes’. nice you crumbled her world

hehe…hekaya swafi bro.you win a trip to SA.

30 green emojis… Hii imeweza kuweza

:D:D:D was waiting for the part where ulianza kuongea kibukusu in the process ya kufikisha threshold…hekaya swafi lakini

nmecheka ,sasa pesa za SA ulienda ukachange tena?

Chonjo omwami

I’d really like to believe this story, for the sake of the boyshaud.

fununu za kuamika zinadai alikuwa na chali majuu…

economic crisis zilikick in nikarudisha nikapewa KSH

Kwani xi umalizie,nini iliendelea baada kumalizana na phn ?

Huyo kunguru ni mjinga aje, hajui kwa zulu huko soweto ndio factory ya luwere