Space-Up Double Bed...

awesome…

[ATTACH=full]42673[/ATTACH]

[ATTACH=full]42674[/ATTACH]

[ATTACH=full]42675[/ATTACH]

[ATTACH=full]42676[/ATTACH]

5 Likes

I hate everything British, so pass.

Even their English…

Nikipeleka pipu, itakulwa na panya. Hii ndio kitanda natambua

http://www.bourdons.com/Search/images/02-200ARMC230.jpg

10 Likes

Yaani walikataa na pesa yako ya maumau? No wonder siku hizi unabonga Chinglish-American

9 Likes

And very very expensive for nothing

[QUOTEChinglish-American]

[/QUOTE]

Hehehehe…izi ni gani???

hii patia @Wakanyama achomeage nyama…

5 Likes

hii ni ile ya kucheza ndege

5 Likes

This is a boy’s bed, not for two adults with enough money to have space.

Sasa hii itaingilia wapi bana ilhali ni kubwa kuliko room.

kwa bedsitter iko fine

Peasant problem

1 Like

Singo room yangu ni ile kubwa, ya mwisho karibu na choo. Ni kama bedsitter

1 Like

:D:D:D:D:D

Ii Ata nikipewa staki.kila mtu anaskia mkikulana kwa kijiji ama ni strong?:D:D:D

Ni cannibals hulalia hizo?

1 Like

VTH vocabularly…

hapo chini unaficha side dish

Lol, napenda Sana.

peasant problems…