Special Thread:Mahusiano,Mapenzi na Urafiki(MMU)

Wakuu,karibuni sana Kenyatalk.
Wengine tupo humu tangu 2016 ila matatizo ya JIWE yametufanya tuhamie huku moja kwa moja.

Nawakaribisha hapa kwa ajili ya kujadili yale mambo ya MMU.

@admin kama unaweza kutusaidia tuwekee subforum ya Mahusiano,Mapenzi na Urafhki(MMU) Plz.

Yaani tangu mchana nilikuwa naiwaza sana team MMU aisee.

Daahh nimeimiss sana maana nililowea sana.

sasa inatakiwa kila mmoja ambaye ana mawasiliano na mwenzake amualike aje ajisajili hapa, mwishowe tutakuwa wengi na kurejesha mijadala kama ya JF kwani haijukikani hatima yake hadi sasa.

Kabisa mkuu.

Wako wapi kina Demiss?
Daah

Ngoja nimualike ajiunge aje apashe jukwaa hapa

Mu

Mwambie amuite na GuDume angalau aje achangamshe

Jukwaa la MMU limeshaundwa.