Speed Alert ⚠

Southern by-pass ni ngori leo. Wamenikulia 5k already. Be warned! Naskia mauchungu mpaka sikuli lunch leo… Nameza dawa [ATTACH=full]46639[/ATTACH]

thats standard, they are always on the southern bypass every Saturday and random Sundays, never do above 100 on the stretch between ngong road and langata road.

minimum speed =40
maximum speed =100

na kwani unakunyuia pombe kwa choo ya kanjo naona umelipishwa water closet (W/C)?

huhu wewe mtu ya embassy kings huwezi elewa haya… Mimi ni mtu mkarimu w/c ni white cap

Hio G.K iko kwa reciept inamaanisha Guiness Kubwa?

wacha shortcuts buda sema tu unadaisha mbisha ya Faith mwenye ameniserve

Hehe. Apana,though i wouldnt mind…

wapi Faith?

ALA? Kuna Minimum?

Tunataka faith na sio tafasali.

yes thats correct, it has a minimum speed of 40

kwa hivyo ukidrive at 30 wanakushika pia

Wacheni speed wasee. Speed inauwa. lakini kama untaka kuescort wale watu wa jana ni sawa.

Na hio receipt si ni ya April ama?

Hio Receipt Lakini?

imebidi nicheck calendar, ama kuna delay place uko kama ile ya mbesha