SPEED CHECK THIKA ROAD NEAR THIKA TOWN

wanakijiji ma fala wameweka kambi…mjamaa wa speed leo nime ona ame kalia nyasi…hayuko ndani ya pro boxx

1 Like

Ngoja akae tu hapo apatwe na python.

3 Likes

Hii 50kph kuwa na allowance ya 20kph ni kweli?

Lol…you heard of the guy who was swallowed by a python? Walikua wanaskia walkie talkie kwa tumbo… ‘Roger…do you hear me…Roger. .’