Sperm Donors-

Watu wa nduthi aka team fapping kazi ndio hii[ATTACH=full]175043[/ATTACH]

4k sio pesa mbaya, kush used to fap like 7 times a day making it 28k per day…swali ni mtu anaruhusiwa kuuza zaidi ya mara moja kwa siku/mwezi kwa hicho kituo?

300ml ndio 4k son

watania, hivi wamaanisha ni sawa na soda ya 300ml?

A friend told me. It can take a week kujaza. Unaenda Leo kesho kesho kutwa mtondo mtondo go mtondo gogo.

But hii Ni upus mtoi wako atagrow bila real dad.

300 mls ni mingi sana. Wacha wabaki na 4K yao

300ml kwani ni susu au niya ndovu…
hiyo unless wapate kwa virgins

Weeeeeeh chupa ya ile ya soda ndogo

Battalion ya Kawasaki usually produce low quality shit.

:D:D:D 300 ml waah

A soda of sperms.

300ml? Waaah

Low quality & quantity… to produce a single foetus you require mtungi

:D:D:D:D
Not humanly possible!! Unless wanafungulia mtu account and the you make deposits during multiple visits

@4makind

300ml? Waaah

upuss. for egg or sperms collection, you must abstain for at least 4 days in order to get quality samples. watu wa nduthi hamuwesmake hii maneno.

I dont like this idea of donating sperms since there is a possibility that your offsprings may meet in the future and it can be very tragic

Kule subcounty every time the bull mount a cow 1K imeivaa !

WTH? how do you fill a 300ml can with semen?