Spika Ndugai: Kwa akili ya kawaida watu wananunua samaki kwa kilo na sio kwa futi, angalia jinsi alivyo waka

ANGALIA VIDEO WAZIRI AKIOMBA RADHI KISHA SPIKA AKIWAPA VIDONGE VYAO

https://www.youtube.com/watch?v=zWtFJKBqbs0

PICHA YA CHINI: [COLOR=rgb(184, 49, 47)]MS OFFICER (AFISA [COLOR=rgb(184, 49, 47)]MPIMA [COLOR=rgb(184, 49, 47)]SAMAKI) AKITEKELEZA MAJUKUMU YAKE KWA USTADI WA HALI YA JUU[ATTACH=full]177995[/ATTACH]

Kati ya watu ambao binafsi na huwa najisikia kinyaa ninapowatazama, hata huyu jamaa yumo. Sielewi kwa nini, ila nikimwona tu nafsi inajaa hasira sana.

[COLOR=rgb(226, 80, 65)]“I WISH I KUD BI CDF”

Wameruhusu wenyewe muhimili mwingine wa dola kuwaingilia hadi chumbani, wapambane na hali yao

Hii Kitu ikiendelea namna hii vitaendelea kuibuka vituko visivyoisha kwa ajili ya kutafuta Sifa na Umaarufu Huku wanaoumia Ni wananchi

Hii ni movie ambayo imetengezwa strategically ili watu wasifikiri au kuhoji au ku-discuss mapungufu yaliyopo kwenye budget and other evils.
Let us close this topic.
If we continue discussing this issue,it means we have agreed to dance their tune.

Umefikiria nje ya box mkuu

Suti mpaka inagusa samaki aiseeee, huu ni umazwazwa!!

Awamu ya kiki.
Wamekatazia bajeti kivuli ya upinzani leo wakaruhusu kujadili ishu ya kupima samaki kwa rula.
Bwana atuhurumie

ndugay nafikiri anafanana na jina lake, haiwezekani uzuie kitu cha muhimu (bajeti mbadala toka upinzani) kujadiliwa halafu ujifanye unawaka kwa kitu cha kihuni walichokibuni maccm na wapumbavu wenzao. Upuuzi mtupu

Mimi nina wasiwasi kuna kajamaa kalienda hapo kananjaa zake kameulizia chakula kakaambiwa bado inabidi usibirie tuandae ndiyo kakaleta mambo ya nitakunyosha na kukonesha mimi ni nani… huwezi kunijibu mimi hivyo…

Cc: @Mahondaw

Ndugai ni mpuuuuzi kama wapuuuzi wengine tuu.

Una akili nyingi

Yaani umewaza jambo la maana sana!!

Interesting way of looking at issues

Mm najiuliza tu bunge ndio watunga sheria, kama walipitisha sheria hii basi hawana cha kupiga kelele

Wamama wajawazito ndio huwaonea kinyaa binadamu wenzao…

umefika hadi huku?

!
!
Sheria Mtunge Wenyewe Halafu Kwenye Utekelezaji Mnalialia. Shit Hole Kantri

Hivi ni watu gani wameamua kuiloga nchi hii mpaka imeingia kwenye ombwe la uongozi namna hii, Au kama taifa tumemuudhi Muumba nini Tukatubu kama nchi

Hivi wabunge wetu hawajaona wala kusikia jinsi wizara hii ilivyoendesha operesheni ya kuwavizia wadau wake na kuwapora kati ya April na Juni kwa tozo za ajabu ajabu? Waendesha opersheni wenyewe walikuwa wanatamba kuwa wametumwa kukusanya fedha; siyo kuwawezesha wadau kwa shughuli zao za uzalishaji na huduma! There is a very serious problem here. Na pengine hoja hii imepokelewa na kiti kwa sababu imepelelkwa na Mbunge wa ccm!