sponge bob fake

Status
Not open for further replies.
#1
Nimeboeka sana leo hadi nikaamua nione sponge bob kwa gotv, kitu imeniudhi ni hii sponge bob ya leo inakaa fake hivi hivi, ni kama ule jamaa alikua anachora zile za tene alifutwa job.Kwa hivyo ninaomba serikali iingilie kati ichunguze hii maneno.
 

mayekeke

Village Elder
#11
I love SpongeBob, my son and I sing along to the theme song mpaka wife huchoka na sisi....Kwanza Gwaka hunirarukia mbaya niki-watch SpongeBob.
 
Status
Not open for further replies.

Top