Nimeboeka sana leo hadi nikaamua nione sponge bob kwa gotv, kitu imeniudhi ni hii sponge bob ya leo inakaa fake hivi hivi, ni kama ule jamaa alikua anachora zile za tene alifutwa job.Kwa hivyo ninaomba serikali iingilie kati ichunguze hii maneno.