sponge bob fake

Nimeboeka sana leo hadi nikaamua nione sponge bob kwa gotv, kitu imeniudhi ni hii sponge bob ya leo inakaa fake hivi hivi, ni kama ule jamaa alikua anachora zile za tene alifutwa job.Kwa hivyo ninaomba serikali iingilie kati ichunguze hii maneno.

You have grown old bana… Toka nje oshea neighbours magari. Not worth watching kids programmes

i think phineas and ferb is cool

Spongebob squarepants is funny! I watch it all the time with my lil’boy.

Tv ndiyo imechapa. Spongebob hajachange

1 Like

I acquired the first three seasons of “Hey Arnold” yesterday. Tonight is going to be a good night.

Will there be drugs involved?

SpongeBob is good. Just like Lilo m Stitch,The Thundermans et al. Bonding sessions ndo zimefundisha hizo…

what abt loony tunes show

1 Like

I love SpongeBob, my son and I sing along to the theme song mpaka wife huchoka na sisi…

3 Likes

I love SpongeBob, my son and I sing along to the theme song mpaka wife huchoka na sisi…Kwanza Gwaka hunirarukia mbaya niki-watch SpongeBob.

Ama brickle berry

@montecarlo hiyo ni adult rated… Huezi watch na mtoi… Mayb botch ivi

1 Like

Hehehe…wachana na mboch ama mama watoi will transform you into a eunuch…the guy could try Tom and Jerry it’s a timeless classic

Spongboooooooob squarepaaaaants