Sponsors skiza maneno kutoka TZ

Kama hukupenda kiswahili najua hutaelewa, nunua Kamusi ama soma caption…:p:D

https://www.youtube.com/watch?v=Pb3adebbryg

1 Like

trash video. nice song

Wadau hii tuliona lini?

2 Likes

Sienj kapsaa

Siku ile ule jamaa wakwanza alitwangwo risasi baada ya kuyanywa maji ya Kinjeketile Ngwale na kujua hajui

2 Likes

Aaaaaaaaaarrrrghhhhhhhhhhhhh
[ATTACH=full]127320[/ATTACH]

1 Like

Sijasema mwizi sana sana awezakuwa @uwesmake :rolleyes: