Sport pesa almost.

Mzee mzima

Village Sponsor
#8
:D Unachomokeanga wapi kakiungua? :D:D
Today was a bad on the office, mhindi amenikula pia nikamkula. Alafu unajua mimi ni mtu wa odds ndogo only. PSG ndio walileta nyef nyef kwa accumulator yangu but after kuona first half ya io game, niliweka draw atleast nikakula kakitu. Game ya Feyernoord ndio nilionea mbali sana. Their key striker hayuko, I placed 200 on Breda nikarudisha pesa yote. Sasa tunangoja Barca plus Juve ziishe ninyonye mhindi. Hadi Tuesday sasa, nimetosheka
 
Top