sportpesa jackport

hii weekend jp nimepata 1/13 na 4/13. What a poor effort

endelea kulisha watu wengine hehe

Kwani you have two accounts? Last weekend nilipata 9/13…damn!!!

unaeza cheza more than once kwa jackpot

How do you know a team will win,draw or loose? And how come its so hard to crack that win 13 in total? I mean can I wake up and vote 1111111111111 or XXXXXXXX2221X without even looking at the teams and win?

yes its said sometimes people who know nothing about football win big than those who know but its all about luck

This weekend I had 9/13 :(:(:frowning:

[ATTACH=full]14262[/ATTACH]

2 Likes

Theres nothing as difficult as predicting a draw…

Jana Ivory Coast iliniwaste na hiyo sare.

Cameroon and cape Verde came through for me in my multi bet

It was your lucky day.

ferk sportpesa

FUACK SPORTPESA

Draw si ngumu kupredict kuna team huwa zinakaishiana.

Hakuna kitu naogopa kama game za Africa Cup of Nations kwa bet

Pia games za KPL sio za kuamini.

boss si wewe ni gambler mwingine mzii, i mean…comonn… hizo first 4 wins ungestake 1000 ingekupea over 50k!!!

Hata sitaki kufikiria hio mambo isinipee stress

1 Like

Siwes na sitawahi bet JP imagine nipate 12 correct nihate io moja I would die of stress

ukipata 12/13 utapata bonus wazimu around mita ama mita plus

Still unaimagine kupata mita instead of 28M machungu lazima… Alafu maybe upate the first twelve correct sasa imebaki io game moja… Unajitoa unafika baesa na mioto… Prediction ilikua draw, game inakua draw upto kitu the 90th min alafu fala anafungia team moja… Nakwambia utapiga mtu chupa na c tafadhali