Starsceam needs your help

Vipi wanakijiji waheshimiwa. I only need 90 likes to be made a village sponsor kwa hivyo tafadhali nipatieni hizo likes nitashukuru sana.

How does that work?

Sasa hizo likes zote elfu mia moja umepata before, saa hii ndio unaanza kulia eti tisaini peke yake? Nkt. Wengine tuko na like moja tu kwa mfuko tangu last year na tumetuliza wewe unalia sponsor? nkt.

Admin weka hio mtu sponsor aache kujikojolea hapa bure.

Nimekupa like uwache kusumbua

You can’t even spell your name right…you need more than help.

Utakubuka @Female Perspective ? She badly need a sponsor !

Kunguru Wenzako wanalilia sponsors wapewe 90k wafungue vibanda ya mboga na wewe hapa unalilia likes na kunukisha kuma chafu…umbwa wewe ghasia

You beat me to it.

:D:D:D:D:D

@Starscream amekimbia to the aid ya wananchi wenye dryspell hi jiji mara kadhaa.Chukua ki like.

Juzi tulikuwa tunakubalisha nappy na kukupangusa makamasi sasa unajiona wewe ni big boy kwa sababu umemea milk teeth mbili kwenda kabisa

Type na kiDorobo tu wacha kujitesa, meffi

Manze hii keyboard natumia ni mbaya