Startimes subscription bonquets

whats the minimum pay?

Boss Bonquet ni nini…RIP osungu…

Gugu is your fren. Nyota ‘bonquet’ kshs 259 pm.

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D you beat me to it

Please my people ongeeni lugha munaelewa.

naeza lipa soo moja?

I believe you can. Pesa ikiisha wakanyange wire.

na inakaa siku ngapi

there was a time nyota category was sh.10 a day…izo higher packages than nyota sijui

Ukilipa 50i think kuna weekly offer

In any case kuna customer helpline

Packages are nyota , basic na classic only …nyota kwa mwezi ni 259_kwa week ni 95,kwa siku ni 25/ basic ni 599 kwa mwezi, kwa week ni 220 na daily ni 60…,/classic ni 749 kwa mwezi, kwa week ni 340, na daily ni 85. Na mtu hajalipia kwa miezi tatu kwenda mbele akilipia full month ana offer ya mwezi mmoja free…channels pia zimeongezwa…