STINGER CHRONICLES

2 years ago exactly a date like today tulijuanga enyewe usikuange mtu wa kujichocha sana. There’s this guy we used to call em ‘dingo’ coz enyewe hii nyang’au ilikuanga mwizi mbaya. He is that guy utampea simu akushikie alafu unapata ashsipiga bei na anakupiga kata vile amehandwa. He was such a liar. Kuna day diego alimwachianga bike yake juu tuliishia kubuy movie kurudi tunapata mbuzi inabargain kuuza iyo bike. Diego alimpiga mavibare akamshow hiyo ujinga ako nayo apeleke kwao. He was a big thief too. He used to go to people’s lines and steal clothes. Kuna day aliishianga ploti ya wenyewe akachuna bike alafu akasonga nayo. Wasee kumfuata hawakumshika akaenda akaipiga bei. To top it up he was very arrogant, rude na alikuanga msee wa kupenda vita. Huyo msee akiona ameshindwa kukusanyia anakuona tu war na raia yake. So kuna day tulimwita mimi, diego na caleb tukamshow enyewe si poa achoree kusanyia wasee otherwise atajipata six feet under. Akaanza kupuuza ati ni life yake na hatuezi mshow vile atafanya. It was so ironical that his dad was a police officer and he was a thief. Yaani budake anang’ang’ana na wezi huko nje na anaacha mwizi kwa nyumba so sad. Kuna this day he pissed me off. Nilikuwa nimetoka tao na unfortunately hakukuwa na lights almost Nairobi mzima. So nikienda home naskia nimepigwa kinyongolo hewa imepotea kabisa nacheki dingo ndo ananipora juu ya nguo alikuwa amevaa nikamuita “dingo kwani unanisanya?”. Hapo ndo alichorea akashow hiyo crew yake wanichoree. Yaani nugu ilikuwa tayari ishanichuna dooh na tenje. Ilibidi ameniwahi tenje akahepa na doo fala yeye. Nikasema ni sawa nikachorea hata hiyo story. Dingo alikuanga anapendanga kubonga sana na kujichocha mob. Kuna day alishikwa akisanya alipigwa mabare budake ndo alimuokolea akampeleka mtaani alafu akapiga exile kuenda coast. Alikaa coast kitu kama miezi mbili akarudi tukacheki ni kama amechange.

Kumbe kumbaffu ya mtu haikuchange. Old habbits die hard. Kuna day alisanya akajua hajui. Alipatanga mtoi wa form one alitumwa na mathake achukue phone kutoka kwa neighbour. Huyu naye juu ni nyang’au akachuna mtoi tenje na akampiga mavibare. Mtoi naye akaenda akasema home vile amesanywa tenje na Wycliffe real name ya dingo. Hiyo story ikaisha ivo. Kumbe matha ya uyo mtoi aliishia stenje akaandikisha statement. Kidogo kidogo nikiwa pool baze flani apo na diego; dingo alikam akidai anataka kucheza pool. Before game haijaanza; tukacheki makarau wawili warefu wameingia wakaenda mahali dingo alikuwa wakamshow, “wewe ndo wycliffe ebu tufuate”, dingo nayo akaongea matope ati " kwani mimi ndo naitwa wycliffe pekee?? Na kwanza mnakaa mawatchie". Nakushow dingo alipigwa baro moja strong hadi akalose balance. Uso yake ilijaa veins ikaacha alama ya vidole. Dingo naye akaona ni kama anaeza rusha pia, alipigwa ngumi kadhaa kwanza ki UFC style. Nakwambia hapo tukajua kumbe kujichocha ni mbaya. Saa hiyo imecreate scene. Alipigwa pingu sasa makarau wakamchangamkia vizuri. Alionwa war hadi akableed. Alifura uso. Alikaa ni kama ametoka kupigana na brock lesnar UFC. Hao makarao wakamshow hata budake haezi msahau. "Kijana hii ikue ni mara yako ya mwisho kuiba next time ntaeka risasi kwa kichwa yako. Jamaa aliekwa ndani 6 months juu ya assault. Alipoachiliwa aliwa amechange kabisa.

Crime hailipangi.
Hustle kivyako na kwa njia halali and at the end Utamake it.

Hekaya funny
hekaya funn
hekaya fun
hekaya fu
hekaya f
hekaya
hekay
heka
hek
he
h
.

Life ya udingo ni nomaree maze! But umetuchanganya na hizo majina jo. Dingo na Diego. Ama hii ndo huitwa tongue- twister?

Na wewe mbona una good conduct na unatembea na mwizi?

If you have been reading my previous hekaya then you should be knowing who diego is.

Dingo ilikuwa nickname ya Wickie

Will have to go back and read all of em. Thanx

Hii ni ujinga gani umeleta huku?

Sitembei na yeye. Tulimbongesha hakuskia after apo tukamchorea. Life is fuckin too short.

So Dingo alikuwa mwizi, Diego mwizi, lakini wewe hapana. Itabidi tutafute Diego ama Dingo atupe hekaya zake, I bet you will feature prominently.

Elewa kitu hapa omwami.Diego na dingo ni watu wawili different. Diego si mwizi ni arif yangu na from my previous hekayas you shoudl be knowing him. Dingo ndo alikuwa mwizi real name yake ni Wycliffe. Alikuwa apige bike ya diego bei after kuachiwa. Alikulwa mabara akaambiwa aache ujinga.

Tulimpea advice tukiwa na diego lakini hakuskia tukachorea story zake kabisa. Ukitembea na mwizi pia wewe ni mwizi.

Can’t relate, next.

wewe ukiona ni gani

UFC ndio zipi tena?