Stori Za Weekend

[ATTACH=full]482798[/ATTACH]

umeogopa kiatu kubwa?

Hii umeiba twitter

Hii ndio inaitwangwa reporting live from location.

Mimi ndio nimepost.

[ATTACH=full]482803[/ATTACH]

Wacha uwongo nanii

You’re supposed to take her to a neutral cave, hiyo kiatu ni ya @Kodiaga mtu 7 foot naona ukiwa kwa news leo jioni

Rule no 1 ya kijiji: Don’t fck where you don’t pay rent.

Juveniles have refused to listen to the elders!

Hiyo mwangaza yote chini ya kitanda ininatoka wapi?

Mama alitoa wapi masaa ya kuvaa heels hadi kukaza strap, nawe uliingia ulivyo uvunguni? Si hio time ungetandika ka-material sakafuni. Tusiskie uliepuka kupipinywa manyee but uka-contract homa ikaja baadaye ikakumaliza

Nonsense, bitch is holding up the trousers