Story Of My Life

You know I sometimes see form four leavers being asked what they are going to do immediately after exams and they quickly answer they are going to do computer packages. Then I throwback how I learnt to operate computer. Then I realize that there is God behind my destiny.

I joined a boarding school in form one, but was transferred to a day school when I got to form three. Sasa place nlikua nastay, ilikua design yenye kuna mashops mbele alafu mi nastay nyuma. Na karibu na mashops kulikua na cyber pia. Sasa kila siku nkiishia chuo morning na nkitoka lazma ningepita hiyo cyber, and I was fascinated with what I saw, I’d question myself when will I learn to operate a computer. Mind you, the only tech thing we had in school was a typewriter, ile inapiga kelele cha cha cha, and some Nokia phones. Na vernier calipers. Sasa nkaanza kuendanga kwa mjamaa wa cyber nkimsaidia kufanya duties ndogo ndogo nkipeep venye anaoperate comp, at times he’d let me play GTA Vice City on his comp. Soon I became acquainted with him. To cut a long story short, by the time I was sitting for my paper, I had known how to fully operate a comp, leave alone the comp packages. I’d also known how to replace dysfunctional hardware like the HDD, RAM, DVD Drives repair printers and many more.

The reason why I said God is behind my destiny is, immediately I had done the paper, guardian akakam kunishw, sababu nakuwanga na ujinga kama ya mzee mijinga, itabidi nijipe shuguli nsikae idle, kidogo kidogo ivi, ikasemekana niende nifunzwe comp packages. Ndo nkawauliza nifunzwe ama nifunzane?? Ndo nkawashw comp natambua, ikasemekana kuna Mhindi anataka mtu anajua comp, and that’s how I ended up at the Indian place. And that’s the first chapter of the story of my life, sooner I’ll start second chapter

11 Likes

Umesahau Bunsen burner hapo kwa vanier calipers

5 Likes

Burnsen Burner haikua tech stuff

umesahau luminous green flame kwa hiyo mix

ulimaliza shule lini?

Yaani unapewa kazi juu unajua kuoperate comp? Enyewe ndo maana mhkndi alikua anakudhulumu

everything najua ya comp ni self-taught. Kuingia Campus Kulikuwa na unit ya Hiyo MS office, sikuattend hata. By the time tulikuwa tunafundishwa web design basics(html, css, javascript etc) nilikuwa nishazijua. class nilikuwa naenda for fun

1 Like

2014

Look here shitty ass and listen carefully, iyo kazi yake ilikua inahitaji mtu anaelewa comp, so kujump to conclusions na hujui chenye inaendelea, but I ain’t surprised, @MISCHIEF = mizee mijinga

1 Like

Good thing about learning stuff by yourself is that you understand it completely, you even enjoy doing it, but being taught is like forcing bitter porridge down your throat

5 Likes

hehe jimit izi masaibu zako hunibamba, lakini heshimu VE na sio tafadhali

1 Like

hahaha Jimit alijiweka kwa Kiti ya Elders before apewe officially

1 Like

Naheshimu wenye wanajiheshimu, alafu kama umekasirika, fanya chenye unaeza fanya

Isorait

Nothing personal though, I understand you are defending your second handle

:D:Dmimi hapana mizee mijinga…we catch tu…hpana tambua

1 Like

Sawa gadhee, pole lakini:D

1 Like

Sijawai make hio connection between @Mzee mzima na @MISCHIEF. @Jimit do you have evidence ama you just jumped to conclusions because your idol, shemale lover @uwesmake said so?

4 Likes

lemme recover first from this RKO, then nikamie shingo yako, mand oliktiga!

2 Likes

hehehehe hata Mimi, Mischief ni nyangau wa Pwani na Mzee Mjinga ako Zetech kwa course ya Woodwork

11 Likes