stranger than fiction

mugumo tree kuanguka in yamumbi eldoret na after been pruned by kalenjin community ,ikasimama na kurudisha mpaka majani,

as a pure blood na blood lineage going as far as including the great seer mugo wa kibiro hii ndio tafsiri ya hiyo maneno,uncle ruto lazima awe rais na after wakalenjin wamekula yao warudishie wakikuyu uongozi and kenya will flourish again,rusheni mawe sasa

Thermal image iko wapi?
Mimi kura yangu hapati…

:D:D:D

the gods have spoken

being the first to comment on your own thread, is like ang’owa…

Image hata kama ni ya leaves itasaidia sana

:D:D:D

wewe sio mgeni hapa unajua waka group ni conglomerate naweza jiongelesha mpaka morning na hakuna handle itacomment more than three times

Your are a movement by yoself?

Shemeji being a veteran kutoka klost unajua msemo wa being the first to comment on your post is like sniffing your mushuto.

hapo sasa

shemeji hio sio comment ni tafsiri ya divine message

Kwa hivyo unataka upewe zawadi ama nini wamathuraku?

nimeamua kununulia mtu fulani hiyo pick up yako mzee … pesa ngapi?

130k tu mzae

fanya 50k kijana

wacha nikutafutie ya hio bei

:smiley: yamumbi inhabitants are shiny eyes.

:D:D
Legion.