stress

kuwa a slum landlord ni stress tupu ,tarehe ndio hii hakuna ameniletea kakitu hata tuquarter twa nyama wananunua kwingine tusionane ,enough is enough hizi slums napatia agent sasa

That little percentage you will give to an agent will save you lots of agony

No wonder mtu aliniambia nyumba poa kujenga rentals ni 1 bedroom and above. Nyumba zenye students and the bottom of the pile can’t afford. Basically 10k plus in rent. Kurentisha watu hawajasoma, wako na familia kubwa, na ni single room wanakomboa is a guarantee you will never get paid on time. Catering for the bottom of the barrel is almost never worth the hustle except kwa some special situations like Safcom and Equity. My point is, business yoyote peasant analipia goods or services AFTER ametumia already hukuwa hectic juu they have 1000+ needs. The only good way to make money from poor people is if they pay first, and in housing, that is never the case.

we vumilia hapo date 15 muhindi atoe advance

mwingine amechukua ya biashara ako na guts za kuniambia he pays zaidi ya 100k in fees for his two boys lakini rent amekataa,zangu zikiamka na yeye atajua hajui

Ukijenga slums halafu mtu ako na family akomboe, wewe kwisha. What do you think he will do first with his 20k salary? Kulipia watoto fees/food, ama kukulipa rent na anajua vitu zake ziko ndani ya nyumba already huwezi mfukuza ovyo ovyo. He already knows he can use your accommodation services first before paying so hawezi kuwa na haraka. In short, kulipa landlord haikuwangi priority kwa most peasants.

Umemulika brothers from the lake side… But issorait

Maskini wako from kila region, sio lakeside pekee. Hata duka ukiweka kwa ghetto utaunda pesa poa sana until ile siku utaanza kukopeshana. Kukopesha mtu anaishi hand-to-mouth hukuwa very bad business na watu wengi ghetto huishi ivo. In this case here, Wakanyama is being forced kuwakopesha accommodation services na unaskia hakuna amelipa rent. In most flats kwa places lower middle class kama Kasarani, I’m sure 70% at least wamelipa rent by now. Hebu imagine kama Wakanyama alifinance hizo nyumba na loan na watu hawataki kulipa? Itabidi arudi kwa mfuko yake.

na ninaweza make it very clear,majority of luyhas isipokuwa ikiwa ni wakati wa siasa ama awe amekosa kabisa huwa wanalipa vizuri sana

Kama ulifinance hiyo property partly na loan utakipata usipopea agent. Tenants huogopa plots za agent sana juu huwa hawachekeshwi.

huwa natujenga polepole na returns za busheri na tuside hustler na hata za tule tumeisha

Usijali, watalipa tu. Hata suppliers wengi najua wanalia.

Not just slums. Even collecting from other areas is stress. Stories left and right. It is best left to an emotionless agent to collect.

Haya. pea kia @LIEN pekee nyumba

Money is emotive, especially hiyo ya rent. Ita tu agent

Managing your own property is next to impossible utakufa mapema juu ya stress…
Mzae ako na ploti dandora phase 4 last year he hardly got anything ilibaki tumeita chief na wazee wa kijiji wakatupwa njee…

So I’m not alone in this… I have some mabati rentals na walai ni stress…IDs hawaleti,ukiandika notice na kizungu hawasomi…15 houses na mbili pekee ndio nimelipwa.they tend to abuse my kindness. Wacha nitawapata nkiwa mlevi

:D:D:D

maze wakanyama usijiue na stress Burr. Kama ni rentals za single hao majamaa ata uwatolee rungu hawshtukangi. Brownskin isipokuwa akilenga single moms hunyandua mapoints sana sana. Patia tu agent lakini ujue kulipwa ni by tenth of every month sio 5th. Then wanaachwa wakifuatilia kama una zako mfukoni. Tenant watakuchukia lakini utakuwa umejisort

:D@blackguards kumbe hua unanyenyekea hivi tenants wakikalia pesa zako? Kuzidishia uwapatie nyama on credit kwa butchery. Kweli hapo wamekushika makagari. Lakini sikuhurumii. Kula ujeuri wako.