Strip Checkers (Draught) Who played this game ?

Tarantinoh

Village Sponsor
#11
Ungepata wazee serious ndio ulikuwa unacheki game ikishika moto sasa pekelee zinaokotwa alafu inachapishwa by force kwa next position, ama saa zile jamaa anauma tatu na kabuti inaelekea. Frustration used to be real:D:D:D
:D:D:D I used to play with them, mmoja as kikupiga kabuti alikuwa anasema 'Fugu Muhogo' never knew the meaning and never asked.
Hiyo ya
Hao madem used to be in Motorola phones never played it, but my roomie in campo used to love it.
 

Top