Student wakora...

ssp

Village Elder
#1
Nikienda kula pale kibaoni huwa nahakikisha receipt yangu naweka mfuko ,awa wanafunzi wa colle ni wakora sana ,mtu anakula kuku choma sembe na soda alafu ananyemelea receipt yako ya maharagwe na chapo... Ukifika kwa cashier na 50bob anakuuliza "una taabu gani wewe? Ongeza 150"
 

Top