Subaru lion introductory price surprises many!

Made In Kenya cars, BJ-50. They cost only KShs450,000 each [ATTACH=full]228271[/ATTACH][ATTACH=full]228272[/ATTACH]

niaje inakaa ya kuuza smokie na mayai moto

:D:D:D:D surely hii nini.

Indicators ni za nduthi, headlights ni torch. Wiper ni ya dere pekee- passenger ajisort!

:D:D:D:D:D ,kwani hii gari Haina air intake vents na hio “miguu” si Ni ya wheelbarrow bana

dosen’t need gas drives on the drivers embarrassment !

The possibilities are endless.

hata haina lock…ama unafunga na kifuli pande ya ndani??

WTF!!!

Keyless buda.
Hii nil ile ya “Tiu tiu.”

:D:D:D
Iko na engine kweli? Ama jamaa wa mkoko anasimama ndani?

Waste of time

Gari iko sawa

[MEDIA=twitter]1103638387775471616[/MEDIA]

Hiiiii gariiiii…, target market yake ni gani?

[MEDIA=twitter]1103644157078372352[/MEDIA]

:D:D:D:D:D
Shait.

:smiley: :smiley: :smiley:

this thing is superugly

Hii ikigonga @Motokubwa inakuwa WRITE-OFF. Naye @Motokubwa itabidi anunue detergent ya kuosha nguo tu…

Upuuuuuuuuuuuuuuuuuusss. Do they know car parts and shapes are patented?? Its sad that Gov Nderitu, a former WorldBank executive is encouraging these pple instead of giving them direction. Wangetengeneza local tuk tuk/nduthi kwanza…with parts manufactured locally and belonging to none of the multinationals…otherwise…niguteee