[ATTACH=full]7432[/ATTACH]
hahaha this guy was busted for posting another dude’s car in the group, the truth is he does not even own a subaru, lemme look for screenshots of the guy being trolled by the real owner
hii kitu ilinichekesha
hahaha hadi alienda nayo Naivasha
[ATTACH=full]7441[/ATTACH]
Is it just me having trouble reading those texts??
hii catfish itamaliza watu how long had he been posing with that guys car?
[ATTACH=full]7442[/ATTACH] [ATTACH=full]7443[/ATTACH] [ATTACH=full]7444[/ATTACH] [ATTACH=full]7445[/ATTACH] [ATTACH=full]7446[/ATTACH]
[ATTACH=full]7442[/ATTACH]
[ATTACH=full]7443[/ATTACH]
[ATTACH=full]7444[/ATTACH]
[ATTACH=full]7445[/ATTACH]
[ATTACH=full]7446[/ATTACH]
hadi anajibu watu wanasikizana wakutane hotel Kunste, this is how serial killers are made they are detached from their real lives the struggle is real
fake it till you make it lakini hii yake imezidi.
Mbona sioni makosa?
juu hata wewe huiba mneti na kuweka hapa eti ni zako, dem wa south Africa, fake jameson, fake food
:D:D
huyu jamaa wa chakula asamehewe sasa
Kutoka Hio day anakula murram.
@Ice_Cube hio grp ni mo fire. lakini majamaa wanastruggle sana. unakumbuka huyu?
[ATTACH=full]7448[/ATTACH]
I dont get the obsession with subarus…they are too overated.
huyo sikumuona I missed that
how about the Kenyans’ obsession with Toyota? halafu what car model in your opinion is rated just right
@Ice_Cube subaru wachia watoto machine ni kama hii yangu fully chauffeured by @ekamsweu [ATTACH=full]7454[/ATTACH]
Vile anko amesema subaru wachia watoto…no hard feelings just ktalking.