Subsidised BY GoK

Subsidised [SIZE=6]p
[ATTACH=full]102564[/ATTACH] [/SIZE]

Hii tuliona lini??

[ATTACH=full]102566[/ATTACH]

Hii tuluiona b4 watu wa ktalk wahamie dubai kama refugees

Hii tuliona kabla Arsenal ishinde FA cup.

Wakati @pamba alikuwa kurutu pale nyeri

Hii tuliona wakati Ananias na Saphira walianguka chini na kufa kwa kuficha sadaka

Tukiona sarafina kwa tape.

kabla paulo na sila hawajatupwa kwa gereza

Tukinegotiate vile tutaruka Kalonzo na MOU zake pale Voi

Hii tuliona…
Wazito Chelsea walipoamua si vizuri kula nyama pekee yao…Ikabidi wawaachie Arsenali waonje kidogo pia!

Tukiwa na Mehmed II pare Constantinople

Hii tuliona wakati Old Trafford ilikuwa New Trafford

Wakati Gerrard alipatia Demba Ba through pass :smiley:

Wakati Omusota ikiambia eve vile mzee wake ni ng’ombe ya museveni wanyanduane tu vichakani pale Eden.

Hii Tuliona wakati Patrick Njiru alikuwa anapita pale murarandia na Subaru impreza huku akishangilio ni @Meria Mata (remember to insert obamatweng)

Hehehe.
Hii tuliona tukijenga Ark na Noah

Hii tuliona na Obama tukiwa kwa mama pima pale kogelo

wherever shit hole you came from you need to go back mkae uko na wahenga…

Homowhat?