Sugar Mummy Tales

mikel

Village Elder
#24
Lakini singo mamas wa nakuru wanapenda food sana....and they really do love hio courtyard....alafu akimaliza kukula utaskia " aki nimeshiba na nimechoka sioni kama nitaweza pikia shiro supper..." hapo itabidi you order more for her kid back at home. And why does nakuru have so many single 30s women...it's now tòo much
 
#25
Kuna huyu sugarmummy amekuwa akiniharass kwa FB messenger. We did hung out a couple of times in 2016. So I knew what she wanted. But after Le Boy child president kutushow turesist slay queens, I added huyo mathe hapo kwa list for the simple reason the cost-benefit analysis ilikuwa negative. Hiyo ni stori ya siku ingine.

Two weeks down the road after pestering me, we met at George's (Nax) around 7:30 pm. For me, it was just a meet and greet thing as we hadn't met in like a year and some months. So nkajua tutapart ways in kedo 30 minutes. Venye alifika akadai hakuwa ametake lunch. I beckoned the waitress akachukua order ya pork choma na sembe. I didn't want to eat so nkaitisha Stoney baridi tho alikuwa anataka we do Red Label. In no uncertain terms nikamshow, I don't drink on weekdays. (If you don't say Ay...hapa the No's have it.)

After devouring hiyo meal, akadai anataka Guarana. Baada ya kumimina cans, akansongea na kunshika mkono. Wewe, hujanmiss? Hapo nikajifanya sijaskia any. It was around nine na Rubadiri alikuwa akisoma news. I told her I had to pick stuff kadhaa Tuskys supa. But I realized alikuwa akibuy time ndo tuende away match. Hiyo siku I was stubborn her plans fell through.

Meeting Two...

I was in town doing some errands baada ya works on Thursday. So nikaingia @Courtyard nikachapa shots mbili za Vicerory ma Coke nikicharge simu. Nikachomoa simu na kucheck Whatsapp messages. Message ya Sugarmummy ikaingia.Since I was kinda bored, nasikutaka kufika kejani early, nikamshow tunaeza meet Sting Grill and Bar around 8.00pm. So I left courtyard teketeke hadi Sting.

Venye niliingia nikamwona kwa restaurant. I didn't stop to say hi. Nilipita kama gari ya miraa na kubeckon na mkono twende upstairs kwa bar. Baada ya salamz, nkamshow I want to be outta here by 9.00pm but tunaeza meet Sato. Pia ye akadai we should leave before hiyo time coz alikuwa anatravel very early on Friday.

The first agenda ilikuwa supper. I wasn't hungry. So akaitisha Kuku na fries na akateremsha na Guarana mbili. I just took Stoney as I don't do drinks weekdays. We talked and all along I reminded her I want to leave before 9pm.

After downing hizo guarana mbili, akaitisha ya tatu. I paid the bills akichapa ya tatu. Hapo nikafanya cost-benefit analysis nkaona hapa ni kubaya. I had like 3k. 50% imeishia food na guarana. Nikamshow amalize drink tujikate. I was supposed to pick supplies kwa Supa. So akainsist anipeleke with 5 minutes to close. Lucky, I got there in nick of time na kupick a few things. Vile tukatoka akadai twende kwake. It was around 10pm. I told her no. Can't go, Friday nko works. Nkamshow a request Wasili cab coz phone yangu ilikuwa imeishaa charge.

Tulikuwa hapo kwa entrance so nkasonga kando tukingoja cab ifike. Hapo akaona amepata chance ya kubargain. Twende then kesho nipe company out of town. I told her that can't work. I was relieved vile Taxi ilifika. I jumped in nkamdrop kwake then cab ikanfikisha kejani. I paid and called it a day.

Baada hiyo two encounters, I swore never ever to see that SM again.
Huyo ni MILF si sugarmummy...Jifunze terms NV ng'ombe hii
 

Micymas

Village Elder
#31
Hii si sugar mummy, this a cougar or a MILF. Learn the difference villager. You should be demoted to a village herds boy for this idiocy.
 

PepoPunda

Village Elder
#32
Woiye,,,,, Its like an adolescent girl. Ni kama akikamua ni makosa sana na atachapwa.....................(hehehehehe) Meanwhile; kunguru anakula pesa yake mos mos.

Kijana ile siku utaerevuka!!!Utafurahi
 

mtongwe

Village Elder
#33
Kuna huyu sugarmummy amekuwa akiniharass kwa FB messenger. We did hung out a couple of times in 2016. So I knew what she wanted.

Two weeks down the road after pestering me, we met at George's (Nax) around 7:30 pm. For me, it was just a meet and greet thing as we hadn't met in like a year and some months.
I told her no. Can't go, Friday nko works. Nkamshow a request Wasili cab coz phone yangu ilikuwa imeishaa charge.
.
This hekaya seems based on year 2016. The Wasili cabs he is talking about had not been established by then!!!!!!!!

Wake up @SealTeam254 , you are in dreamland.
 

SealTeam254

Senior Villager
#36
Majamaa muacheni ku :meffi::meffi: my thread. Haters muende mutafute sugar mummies or MILFs then come and share your fantasies. 90% of you hamjwai kudate a sugarmummy or MILF na hapa ndo mnaropoka. Chieth :D:D:D:D
 

SealTeam254

Senior Villager
#37
FYI, I normally pay my bills. Whether it's a sugar mummy or chips funga. Ukiacha sugar mummy or MILF atake charge of everything...you ain't a man but a sissy
 
P

pseudonym

Guest
#38
After downing hizo guarana mbili, akaitisha ya tatu. I paid the bills akichapa ya tatu. Hapo nikafanya cost-benefit analysis nkaona hapa ni kubaya. I had like 3k. 50% imeishia food na guarana.
Eeeeh?
Thou shalt not besmirch the cougar name.
 

Top