SUGU Awachana wabunge wa CCM, Spika wa Bunge afurahia mchango wake

#3
Ushauri wangu mdogo tu kwa Mheshimiwa Sugu ni kwamba ajitahidi sana kuwa makini na mwangalifu. Hata Mtume Paulo katika Biblia alitufundisha sana juu ya matumizi ya ' Ulimi / Ndimi ' na alitahadharisha pia kwa kusema kwamba ' Ulimi ' usipotumika vyema unaweza ukakuponza au ukawa ni Silaha kali na hadi akaufafanisha ' Ulimi ' na Njiti ya Kiberiti ambayo inaweza ' Kuangamiza ' Msitu mkubwa au Pori kubwa. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
#4
Sugu kuhusu viwanda kuzinduliwa vya zamani tu inabidi afuatilie ukweli. Kwa sisi watumiaji wa barabara ya Morogoro kutoka Kibaha Maili 1 hadi Mlandizi kuna viwanda vingi tu vipya vimejengwa kando kando ya barabara ktk ***ndi cha July 2016 hadi hii June 2018.

Hayo mengine ya wabunge wa CCM kutosemea wananchi wao Sugu yupo sahihi kwa asilimia kadhaa.
 
Last edited:

ileje

Senior Villager
#10
Ushauri wangu mdogo tu kwa Mheshimiwa Sugu ni kwamba ajitahidi sana kuwa makini na mwangalifu. Hata Mtume Paulo katika Biblia alitufundisha sana juu ya matumizi ya ' Ulimi / Ndimi ' na alitahadharisha pia kwa kusema kwamba ' Ulimi ' usipotumika vyema unaweza ukakuponza au ukawa ni Silaha kali na hadi akaufafanisha ' Ulimi ' na Njiti ya Kiberiti ambayo inaweza ' Kuangamiza ' Msitu mkubwa au Pori kubwa. Naomba niishie hapa tafadhali.
Ushauri wako umetupwa kapuni!
 
#14

Ushauri wa KIJINGA KABISA..
Mjinga tu ndio anaweza kukubali huu upuuzi uliosema hapo..
Kitu gani kibaya alichosema hapo??
Wapi alipotumia ulimi vibaya??
Najua pale alipompongeza Rais kumtumbua Deputy wa TISS na kwamba toka atumbuliwe hakuna tena matukio ya mauwaji ya ovyo ovyo ndio pamekugusa..
You sound LUNATIC..
Your own STUPIDITY this time is APPROVED..
Jinga wewee.
 
ngongo

Senior Villager
#19
U
Ushauri wangu mdogo tu kwa Mheshimiwa Sugu ni kwamba ajitahidi sana kuwa makini na mwangalifu. Hata Mtume Paulo katika Biblia alitufundisha sana juu ya matumizi ya ' Ulimi / Ndimi ' na alitahadharisha pia kwa kusema kwamba ' Ulimi ' usipotumika vyema unaweza ukakuponza au ukawa ni Silaha kali na hadi akaufafanisha ' Ulimi ' na Njiti ya Kiberiti ambayo inaweza ' Kuangamiza ' Msitu mkubwa au Pori kubwa. Naomba niishie hapa tafadhali.
Ushauri umekataliwa
 
Top