SUGU Awachana wabunge wa CCM, Spika wa Bunge afurahia mchango wake

[B][SIZE=6]Video hii hapa[/SIZE]

https://www.youtube.com/watch?v=KqTkIKN0dpc
[/B]

siku spika asipo furahishwa msije kulia lia hapa

[FONT=courier new]Ushauri wangu mdogo tu kwa Mheshimiwa Sugu ni kwamba ajitahidi sana kuwa makini na mwangalifu. Hata Mtume Paulo katika Biblia alitufundisha sana juu ya matumizi ya ’ Ulimi / Ndimi ’ na alitahadharisha pia kwa kusema kwamba ’ Ulimi ’ usipotumika vyema unaweza ukakuponza au ukawa ni Silaha kali na hadi akaufafanisha ’ Ulimi ’ na Njiti ya Kiberiti ambayo inaweza ’ Kuangamiza ’ Msitu mkubwa au Pori kubwa. [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Naomba niishie hapa tafadhali.[/FONT]

Sugu kuhusu viwanda kuzinduliwa vya zamani tu inabidi afuatilie ukweli. Kwa sisi watumiaji wa barabara ya Morogoro kutoka Kibaha Maili 1 hadi Mlandizi kuna viwanda vingi tu vipya vimejengwa kando kando ya barabara ktk kipindi cha July 2016 hadi hii June 2018.

Hayo mengine ya wabunge wa CCM kutosemea wananchi wao Sugu yupo sahihi kwa asilimia kadhaa.

Sugu ameongea hoja nzuri kuhusu biashara.

Sugu ni sawa na wabunge 50 wa ccm! Kwa ujumla vijana wa upinzani upstairs wapo vizuri huwezi kuwalinganisha na misukule kama Mlinga!

wengine hatuna data za kutosha kufungua hiyo clip kasemaje wadau

True 100%

"Unakua mpambe hadi tajiri ananuna… hahahaha…

Unampamba mtu hadi anabaki kukushangaa…

Kajitahidi sana kwenye hotuba yake… sana sana kipengele cha mwisho kuingizia siasa kwenye biashara na uchumi…

Cc: @Mahondaw

Ushauri wako umetupwa kapuni!

wapambe nuksi smart

Sugu moto chini
Nalog off

[FONT=courier new]Your STUPIDITY is APPROVED.[/FONT]

Ushauri wa KIJINGA KABISA…
Mjinga tu ndio anaweza kukubali huu upuuzi uliosema hapo…
Kitu gani kibaya alichosema hapo??
Wapi alipotumia ulimi vibaya??
Najua pale alipompongeza Rais kumtumbua Deputy wa TISS na kwamba toka atumbuliwe hakuna tena matukio ya mauwaji ya ovyo ovyo ndio pamekugusa…
You sound LUNATIC…
Your own STUPIDITY this time is APPROVED…
Jinga wewee.

Naona kila mtu anakuja na lake

Kivipi?

Pumbavu!

[FONT=courier new]Mama yako Mzazi.[/FONT]

U

Ushauri umekataliwa

Ushauri wa huyu jamaa @GENTAMYCINE wa kipumbavu kabisa Mkuu.