Sukari nguru

Ni wapi naweza pata skari nguru and is it a viable business to sell to normal retailers?

Very profitable. Make sure yako iko clean

where can i get?

kwa akina @Eng’iti bogirango amaningo ime

kama uko serious i will connect you

hapo sijui.

nipee directions…

Haha Abandto bamindto bagodtoroka muna dtoro dtoro :smiley:
Iko ma bro za matha hua wanaziunda. Wana plantation za miwa wanasupply wasee wa busaa region yote

Unataka pukia wananchi, illicit brews

nimejua na wewe huwa inatumiwa kwa brews… mimi niko biashara zingine

There are both legal and illegal jaggery producers in all sugar growing regions owned by some Individual sugarcane farmers plus a few complex ones owned by Indians.(some wanahepa annual licence fees of Kshs 100,000 plus other conditions) .Some use very simple tools to crush the cane then turn them into solid blocks/corn shapes etc.
The info I got several years back from the ‘ngutu’ traders is that the best places to get it at a fair price is directly from the producers. Sadly I’ve never inquired their prices so I can be of no help.Good luck.

Msifanye nianze kulia,it was many moons ago as a Young hustler nilingiza hasara kwa hio biz in my first attempt

Leta hekaya mzito…

He he he,kuna vitu zingine unawacha zikuwe forgotten, imagine utoke Nairobi mpaka Ringo ukatafute hasara na point man wenu ni WA huko

utakuwa umetusaidia if you tell us the whole story. watu ni kusaidiana

what is ngutu

Wamanyoka kumbe before uanze kuuza maini ya njege umejaribu biashara zote sio za ushylock, sio za transport. Si uambie Mungu akuonekanie tu uomoke. Mimi nili give up nikaona kitu nitaweza ni kubugia na kunywa muratina tu

[quote=“Lordsavegery, post:16, topic:230318”]

what is ngutu
[/QUOTE

Sukari nguru[/QUOTE]

Kuja inborsk. Unataka nguse kilo ngapi.

Jaggery gur =sukari nguru