Sun-kissed ndio kusema nini? Kama mimi nashinda kwa shamba siku nzima na hii jua kali ya January, naweza sema pia mimi niko sun-kissed?