Uncle yangu akona 3-4yr old kurutu kabisa, kijana hajawai chapwa maisha yake yote (oswahili.dll missing) wana bembeleza huyo mtoi sana, mtoi akitaka kitu ana jaribu kuchukua na fujo akinyimwa ana lia na ana anza vita. Ame haribu electronics yao mob, simu yao yote ime crack screen, ipad's/computers pia hivyo.
Siku moja nilikua naosha keja yangu nika wacha mlango wazi ndio ikauke niki osha nguo, kuona tu hivi, mtoi ndio huyo amechomoka na DSLR yangu hadi kwao, nikajam, nikaenda kwao, kitoi kika kwamilia DSLR na nguvu nika backoff kiasi ndio asivunje, mathe yake akakam akasema ati hio ni camera yao nisi wasumbue. Nili weka ye kofi moto na nika toa DSLR yangu kwa mkono ya boy kikaniuma mkono nika weka ye kofi moto pia, matha yake akasema ata kuja kuni staki kwa anko akikam, na akanitusi, nikamshow wanajua mahali yaku ni pata. Jioni jamaa akakam kubisha mlango ya keja kaa polisi, kutoka inje jamaa akanishika shati nakuni show ataniua leo, mpenzi mtazamaji hapa ndipo boy wenu
@Afröjvck ali jam yake yote, msee ananishika aje shati!!!?, jamaa alipata kichapo cha umbwa, alipiga nduru hadi guka akakam ku muokoa. Tangu hio siku hakuna mtu anataka kucheza na Afrojack.