Sunday reggae

[ATTACH=full]249453[/ATTACH]
wazito starter pack ya mnati ndio iyo…dobah tusherekea wapi leo?

You are a merchandiser? fangi ndio iko kwa hio kamondo?

Nimeona gedion boots, wapi khaki suits

[ATTACH=full]249457[/ATTACH]…hehee…nacheki wewe ni mjanja

a gheto man no afyord adi babylan khaki

Sijaona baronga hapo, kwani unaenda reggae ukiwa chuma hapo down?