Sunday Service

Basin ni ile ile…
Mubarikiwe.
[ATTACH=full]188032[/ATTACH]

Umeharibu Sunday, I hope she will still get you.

Naona tumbler imezoea kazi imepata oiro kidogo

lakini usifanye hivi[ATTACH=full]188037[/ATTACH]

Hiyo tumbler ukiweka Kenya Cane inageuka Johnny Walker.
Aki.

Padre, nduthi momo inasquirt hapa.
[ATTACH=full]188039[/ATTACH]

Jatelo niangushie ki blunt. Niko mbaya saidi…

Ngai besheni again? the sky blue one:D

Mogaka umechelewa.
Leo supplier nimempitia hapo State House Road saa mbili asubui.

Ongezae Motor Honey

Kuna msee anaongea kiwahili contaminated na kikisii hapa Capital Fm News za 4 ati
SISI ATUTAKI MADAGWA SA KUREFYA KUTOKA ISIPANIA SIPITE APA KWUETU…Nyenyenyenye…!
Hata Skutaka kujua ni nani
Wtf. Some wazees need to retire already.

Bora kieleweke.

Kijana Bado anasoma muziki?

:D:D

Huyo ni fundi wa aircorn…

Jakipash nitafutie skooter 150 cc.
Top speed 150 km/h
Budget less than 120k

Hakuna kueleweka kitaelewaka kama mtu anaongea shonde kuhusu umbidho…

:D:D:D:D, pia naona Siku hizi unakunywa shell helix like literary from the adverts

Mzee ni wewe

I hear it was Matiang! Hahahaha since lini Bangi ikakua madawa ya kulevya? SMH