Supermarkets selling you poison as food

digi

Village Sponsor
#1
Just watched NTV preview of an episode to be aired tomorrow, how supermarkets use poison in meat, the meat never expires. Huge profits.

Tunamaliswo jameni!
 

Teddy_time

Village Elder
#7
I have always wondered why beef of ushago uko western always tastes better than hii ya tao nai. Na si ati I grew up ushago so si nimezoea hiyo
 

sani

Village Sponsor
#14
Chris Kirubi anapush Uhuru sana akubali ii maneno ya GMO. During the next maize scandal Uhuru will push jubilee mpigs to pass thr bill, and the pr will be "Hakuna Mkenya Atakufa kwa Ajili ya ukosefu wa mahindi kuanzia sana, lazima tuingie kwa kilimo cha kisasa".
Bayer washa anza kumwaga pesa
 
M

Mrs Shosho

Guest
#18
Hiyo kila mtu amekula hii Nairobi. Afadhali ata Kenya, uliza wale watu wanaiishi majuu wanaeza kula nyama ilichinjwa 2 years ago.
Nyama ikona taste ya bubble gum imeisha utamu. Hakuna ladha kabisa.
Truesay but after sometime one knows where to source fresh meat and veg. Hata tujungus tule tunapenda their health and have deep pockets know that. We have farmers' markets and also farmers wameendelea sana. They can now deliver to your doorstep.

Situation is the same in Kenya. Buy your groceries huko outskirts.

Supermarket meat and veg are for the lazy people who do not want to travel a bit far or for those with little money as it is also cheap.
 
#19
wadau wenye hawapendi kuivisha chakula vizuri,
mayai sio lazma iive, maziwa sio lazma ichemke, tomato sio lazma iive, samaki sio lazma iive . hadi kuku sio lazma.. ugali sio lazma, Those that have no harm.

lakini ngano products na red meat mahn, kina n'gombe? na salt nyingi? smh . patia tu time yake, hata kama ni hio 20 minutes chemsha kwanza.
Cancer and gaut originates at the point below 15 minutes cooking red meat ..
 
Top