SUPERVISOR WANGU HANA SHIDA.

Habari zenu Villagers nadhani mnaendelea poa, Nipo mitaa flani ya Rock City kuna jirani yangu hapa ni mwanachuo toka SAUT. Story ipo hivi:-

YEYE:Villager una karatasi nyeupe? Zile ream paper?

MIMI:Ninazo, lakini hazipo katika hali nzuri. Kwani ulihitaji za matumizi gani?

YEYE:Nataka niandike research proposal nimpelekee supervisor wangu.

Mimi:Kwanini usitype kama hauna PC nikuazime yangu hii sababu mimi sikuwahi kuona kitu cha hivyo!!!

YEYE:Wewe nipe tu hizo karatasi mbili kwanza PC sijui tumia na Piasupervisor anayenisimamia hana shida.

Mimi:Nikampa karatasi ila nikibaki natafakari kwani mwenyewe pamoja na kuwa na PC Ms Word yenyewe tu ina mambo sio mchezo, hii ni baada kukutana na Manager flani mradini huko akaniongezea ujuzi wake. Sasa huyu hadi sasa typing yenyewe hajui na Supervisors wanadekeza hii sio poa.

Apambane na hali yake tu

villager umemaliza au utaendelea??:D:D

:p:p:p:p ndio mwisho villager huyu mrembo.

Mh:confused::confused::rolleyes::rolleyes::rolleyes::(:frowning:

@Madame S Naona unaconnect dots.:cool::cool::cool:

Kazi kazini

Hahahahaahhahahahhahhaha

Huyo YEYE ni ME au KE?

Hawa na supervisor wa bongo si ndiyo wale wanaotoa PhD zisizo na thesis!!!

SUPERVISOR THE GREAT
[ATTACH=full]178177[/ATTACH]

Kama

supervisor wake hana shida kuna anachompa tu. ama yatakuwa maharage au kunde sijui

huyo supervisor ni jipu mbivu.

KE

Nilihisi hivyo mkuu hao KE sio wenzio wana nguvu yao ndio maana unaona anajiamini sana

Analiwa mzigo huyo

Half akimaliza hapo anapewa 4.5 gpa anakuja kutusumbua kweny kazi sisi weny 3.3 za Ardhi na UDSM

hapo unaambiwa kikubwa kupiga pesa tu…skills sio dili sana