supu ya kuku na mchicha

Mahitaji
Kuku mzima hasa wa kienyeji
Fungu moja la mchicha
Tumba tatu za kitunguu saumu
All purpose seasoning
Thyme
Pili pili hoho nyekundu na kijani
Pili pili kichaa moja kwa test kama unapenda
Limao kubwa moja

Jinsi ya kupika
Osha kuku muweke kwenya sufuria pamoja na kitungu saumu, all purpose seasoning na limao
Kuku akiiva weka mchicha uliokatwa katwa, thyme na pilipili,
[ATTACH=full]181173[/ATTACH]

Hivi utamjuaje kuwa mwanamke huyu in mtaalamu wa kupika au anapenda kupika?

ukimuoa utamjua tu

Hebu niambie baadhi ya viashiria mkuu

atakuwa na uwezo wa kusifia au kuponda chakula mnapokula labda mgahawani

Ooooohhh! I seeeee…nimekusoma mtu wangu…
Ila mimi nilikuwa nataka kujua kabla hajatongozwa.

sio rahisi kumjua labda usimuliwe

Mimi ninavyofahamu ukitaka kujua mtu anajua kupika mwambie akupikie chakula kisichokuwa na nyama hasa ndizi au mboga ya ugali pia asiweke viungo kama curry ama hizi royco atumie tu viungo vya kawaida hapo utamjua kirahisi.