Where in mombasa can I get supu ya pweza?
in mombasa
hapo kwa bitch
Tembelea Tanga, Tz maeneo ya mkwakwani hapo hutaikosa.
:D:D:D Na huyo bitch tapata wapi? Yuaitwa Nani? Aisee
Nenda hapo ferry on the likoni side, kuna fisher men wanauza fresh pweza jinunulie kajichemshie.
thank me later
Una upungufu na nguvu za kike? mpaka wataka kukula supu ya pweza?
Tembelea Tanga TZ maeneo ya Mkwakwani, hapo hutaikosa.
uko ,dunga unuse
Visit Kilifi Village Dishes Kilifi town
Nenda Mombasa au dar bongo Tz
Unakunywa mpaka unaacha hapo
dongo kundu.
Supu ya Pweza hio …
[ATTACH=full]177969[/ATTACH]
Kwani hiyo pweza imepikwa na mtu wa central naona iko na minji?
Principal tumekuona
ndio hiii
Tembea hiyo route ya makadara ground majioni kuna msee hapo anauza pweza.
Ama kama wataka nikupeleke kikambala ukakule pweza at your own convenience
Just go to the ocean catch an octopus and cook it
Pun intended?
Miritini…
What does it taste like? Kama ulimi ya ng’ombe?