Surviving with In laws

Villagers how do we handle in laws wakianza umeffi. My law amepiga kambi huku wiki mbili ndume kazi nikulala mpaka saa saba. Hii Nairobi who sleeps till one unless uko ICU.Kuzidisha ndume inaenda choo hata kuflash ni shida sijui amezoea msitu.Alafu napee bibi warning anakasirika.As usual in laws ndio huharibu ndoa either side is culpable.

wakamba huwa hivo,expect wengine wengi,na ukiwaletea kimudomo wewe narogwa

But the best thing is to speak your mind. Sufuria ni ndogo sana town, and we dont even cook Lunch, si kama oshago where we cook a full pot of Githeri.

Haha ati wakamba bratha wacha hate speech :eek::eek:

Alafu anashinda akicheki TV hadi late hours na hawachili remote.

Yani hadi am tempted to revisit my decision

Haha bratha inakaa wewe ni comrade wa hii maisha

Sana sana hawa:D:D
Just speak your mind. Start by asking him what his plans are. From there you’ll get his bearings and you’ll know what to do.

Reason for their visit?

Hata bibi akikasirika muambie ukweli, si uko kwako?

Mabibi hupenda sana their relatives to stay in your home, especially in town, and you end up having financial strains. Speak your mind.

Ati ndume haitaki kazi ya nyumbani naona nikieka curfew na number of visits kama NHIF kwa hii boma heri nimwage mboga na unga sasa but nyumba ikalike

Nimeongea ni kama bibi amekasirika I prefer weekend visits mambo ya ndume kukaa idle a whole weekday hio siezi kubali

She is not the only one, all of them are like that. Ongea na marafiki wenye wameoa, you will be surprised to get the same situation you are in. The thing is, be firm with your decision, you did not marry the in-laws, be firm.

Go now and play pool table in your favorite joint to cool off.

Am a newly wed ndoa ndio inamaliza miaka nne I hope things will get better and nilianza kuingia boma past 11pm at least pressure ishuke juu I feel like mateka kwa boma yangu.

Nonsense.
I lived with one who couldn’t manage his shit too…lakini hiyo ni fangi ilikuwa imemfanya moron…

Mtu hujitoa aje kwa hii maneno

gashwin ni opinion yangu unasema ni nonsense,? I am watching you

Your marriage is still young, an its common at the beginning of the marriage, but with time, it will mature and everything will be okey. So don’t worry. But the earlier you expose your dislikes and the likes, the better.

Thanks for the advice brother lemme be optimistic

Anza tabia za Uchoyo Na bibi lazima akusupport in this mission.
Haya;
Ficha decoder ambia ndume Ilikua Ya kuomba umerudisha.
Dinner kuleni kwa hoteli then mkifika kwa nyumba ambia ndume ni wiki yenyu Ya kufast.
Then ambia ndume haujalipa rent NA haujalipwa akupige jeki.

Maximum four days ndume suruali itajiondoa polepole…