-Ndoto zingine aki ni mbaya.. Niliota nikidrive ma new Mercedes Benz alafu ikakwama kwa matope... Ikabidi niisikume.. Kuamka sai napata kitanda kitchen
-
Pale club
Bouncer:niaje buda
Mimioa sana
Bouncer:na hii mchanga ni ya nini kwa mfuko?
Mimi:kuchafua meza