Swali tu wadau.

Yule mtu amegraduate na PhD in Plant ecology si kwa Kiswahili tutamuita Daktari wa miti shamba?

ecology umetupa wapi?

Yule wa kutangatanga??

Kwa shamba

what is ecology in Kiswahili?

Ikolojia :cool:

Alikuwa anenda class saa ngapi?

He digitized,alifanyia onlini

mtandaoni au?

Ikorofia.

PhD gani mtu huenda class?

Nguruba unajua maana ya class?

Do you mean Arab Mashampa?

Ni trafferk unasukuma hii side ama what’s sporty about a dude doing research on worms?