swali

kwa wanaopiga simu radio jambo kwa hii upuzi ya patanisho wote ni waluhyia?

Unatuuliza ama unatuambia??

1 Like

@Unataka kujua ili?

1 Like

Jama hajui hapana tambua radio jambo,tuko locked citizen TV.

nilikuwa abit idle in the morning Nikadecide kusikiza radio jambo,wote wanaopiga nasikia tu ‘sakhasa gidi na ghostiii,huyo mwanamme amepateko pum’…anyway ruling inaanza saa gapi niko kunukisha onion rings far from screens