Sweep.

@introvert ndugu yangu, kijana akule sweep ama nisamehe?
[ATTACH=full]183487[/ATTACH]

Bhangi si managu jameni. Usisamehe kamwe!

@Chifu mwenyewe alijibu swali

Hebu nikuulizee…Mwizi bora ni yule hushinda wezi wengine kuiba au ni yule humwachia mwenye mali kidogo?

hatamani kuwa chief, so hakuna vile anaweza kutumia imagination kwa ile kitu hapendi,patia yeye fursa ingine akiwa boda boda rider

:D:D
Tell me this is fake…
He is so disrespectful mpaka ana andika in bold letters.

:smiley:
Patia hiyo kijana ngoto.

It’s fake.

Hiyo handwriting sio ya mtoto/mtu mjinga. Most likely ameandika mwenyewe.

Noma sana!

Ni yote hayo kaka

Well, usiwe slow sana, we teachers tunapata such answers. Hehe unawapatia insha ýa Maelekezo kutoka Dandora kwenda Thika. Mwanafunzi anaandika, “Mwalimu sijawahi enda Nairobi tafadhali” Well, in such insha a student is allowed to imagine and come up with a composition. My interest sio kujua ni kama anajua the right direction from D to T, nataka kuona kama anaweza elekeza, yo see?!

Walimu tuna kazi nyingi mpaka ya kufundisha wazazi.:D:D

Ingekuwa ule musician wako ‘angesalimia dunia’ you know what I mean?

Hao ndio sampuli ya wazazi wanafanya serikali ifanye shule zote ziwe day schools, kazi yote tumewachiwa, tukiwanyorosha ni balaa! @introvert naona ukipea kijana YAMAHA soon afike nayo shule.

Wapi tata ya osweli ndugu? Tunasema ‘huyo’ sio ‘hiyo’ chora picha ukiwa juu ya TATA.

Aiiiii mwalimu, acha kutubeba wana kiasi hicho yawa…we did not grow on trees, you know.

Hapo mwalimu anaandika kwa hio paper ‘click here to see your marks’ underline and in blue. Hakuna haja kusumbuana na mijinga

Hotuba ya Chifu:

Ndugu sangu tumekusanyika haba maarum kwa chambo mocha , msee @Elgin a.m.e.f.i.r.w.a na mwanafunsi wake wa kiume yure mchinga! Chambo la k.u.f.i.r.w.a ndugu sangu si la mcheso! Reo k.a.f.i.r.w.a msee @Elgin kesho n.i.t.a.f.i.r.w.a mimi, keshokutwa u.t.a.f.i.r.w.a wewe,kira mtu lazima a.f.i.r.w.e haba ktalk!

No one needs your stale jokes za kisenge hapa, na usisingizie pombe, bomoa kabati bila kusumbua