Nilitupa contacts yako nicall
ama mwenye ana namba yake anitumie inbox
Kuna kitu inaitwa inbox…MBAFFF!!!
ghasia harespond kwa inbox kama una namba yake nitumie
Hun how will you progress the biz if he is not responding to you kwa inbox?
Hope you is sorted
niko sorted wakumbwa