T255, Huwez Kabisa Kulinganisha Kenya na TZ

T255, hauwezi kabisa kulinganisha Kenya na TZ. Kenya iko level nyingine kabisa. Swali: Mbona unahisi haja ya kuleta nyuzi za kulinganisha Kenya na TZ? Uko na insecurity gani, ambayo unataka kuji-prove? Na sio wewe peke yako. Ukienda kule Jamii forums, kila siku wabongo wanaanzisha nyuzi kama hizo, za kulinganisha Kenya na TZ. Nini kinawaukumu? Mbona mnajiukumu? Sisi huwa hatuanzi nyuzi za Kulinganisha Kenya na TZ. Ukiona tumeweka uzi kuhusu TZ, mara nyingi huwa ni ku-appreciate kile (kidogo) mko nacho.
TZ si nchi mbaya. Lakini utawala ni mbovu, na mediocre. Hata maendeleo unayoona kidogo si ya watanzania weusi, bali wahindi. Yale magorofa unaona Dar, Arusha na kwengine, ni wahindi. Mtu mweusi TZ chake ni Nyumba ya Kiswahili tu. On our part, yale Magorofa unaona Nairobi ni (mostly) ya Wakenya weusi-- Wakikuyu na wengine. Yale magorofa unaona Mombasa ni (mostly) ya wakenya weusi: Waswahili, Wakikuyu n.k.
So, ndugu yangu, jihoji. Jiulize ni nini kinachokusukuma kuweka threads za kujaribu kulinganisha Kenya na TZ.
Asante szana.

Ukaona heri uunde Uzi kwa ajili ya hilo? Brary Meffi…

Brary kikombe cha pombe!

Sidhani kama ninaweka taarifa kushindana na kenya. I just share news with you.
Most of buildings in Tanzania yanajengwa na Public Organs.
Many buildings in Arusha, Dar, Mwanza yamejengwa kwa mkono wa serikali ya Tanzania
Eg (TPA tower - Tanzania Ports Authority
https://c3.staticflickr.com/8/7741/27378706522_3636dfe782_b.jpg

PSPF (Public Service Pensions Fund)
https://c4.staticflickr.com/8/7333/26870290883_8dbab867d1_b.jpg

RITA Tower (Registration, Insolvency and Trusteeship )
https://farm5.staticflickr.com/4517/24669247768_75a126c8cc_b.jpg

Tanzania is a socialist country. So you have to look in that angle.
Asante sana.

Hebu linganisha majibu kwenye huu uzi na nyuzi nyingine.saa hii huyu jamaa angekua ameitwa every possible name za matusi.waTz ni polite sana.asande sana

hahaha hapo huujambiwa poa

Hili ni kanisa kuu la Mt. Yosefu Dar?

[ATTACH=full]151516[/ATTACH]

Yes

Beautiful

Ati mtukufu yosefu:D:D:D:D:D

Mtakatifu siyo mtukufu.
Mtakatifu = saint
Mtukufu = glorious

Does it sound correct to you? @T255

Mount Yosefu:)

I heard a presenter from Radio Maria Nyeri pronounce it that way.

Very.

Tanzania stopped being a socialist country in the late 80’s when Mwinyi started reversing Mwalimu Nyerere’s terrible economic policies.

Ndugu don’t you even know your own country?

i am not surprised. when i first read your comment my head was working overtime trying to recall if i’ve read of a mount jose in the Bible.:D:D:D

There is no mount Joseph but mtakatifu (mt.) Yosefu (st. Joseph).

That presenter frm Radio Maria Nyeri was very wrong.

:D:D

Please, these dick-measuring contests are sickening.

The constitution of The United Republic of Tanzania

[ATTACH=full]151528[/ATTACH]

Ndugu when you come and live in Tanzania you can see the different. Tanzania still the socialist state.