Tafadhali let's agree

Status
Not open for further replies.

Davidee

Village Elder
#4
Hehehe i find that akward...another case ni mmekaa wawili na hapo mbele mtu ashuke...are you allowed or supposed to move to the new seat? Ukitoka labda mwenzako ataona ni kama haukua comfortable ama iko kitu mbaya na yeye especially ka ni dame...i find these situations akward.
 
Ka-Buda

Village Elder
#15
Kuna mrembo alikuwa akae na mimi lakini huyu jamaa bana akachange mind akaketi kando yangu. So am now staring at this beautiful lady mbele yangu and that's as close as I get. .....
Hatuta choka kuhimiza umuhimu wa picha,video,skechi ama mashahidi katika hadithi hizi.
Kulingana na kanauni na masharti yaliyoafikiwa na wanachama,wakurugenzi,wanakamati na wasajili wa KTalk,tutahitaji kuona angalau picha ya "jamaa" ama "mrembo" ili kutuwezesha kudhahirisha kisa na mkasa huu uliokuadimu katika masafara yako kwenye magari ya uma.
 
emali

Village Elder
#17
back in the day nilikua mwanabiashara wa maembe dodo from hola..sheria ilikuwa ukiingia basi na hakuna walalo, shuka, hiyo mashifta wamebook...lakini picha sina za kudhibitisha
 
#18
Hatuta choka kuhimiza umuhimu wa picha,video,skechi ama mashahidi katika hadithi hizi.
Kulingana na kanauni na masharti yaliyoafikiwa na wanachama,wakurugenzi,wanakamati na wasajili wa KTalk,tutahitaji kuona angalau picha ya "jamaa" ama "mrembo" ili kutuwezesha kudhahirisha kisa na mkasa huu uliokuadimu katika masafara yako kwenye magari ya uma.
Si unajua mimi ni msee wa evidence lakini leo hakukua na haja ya kuchoma picha nikipiga mrembo picha
 
Status
Not open for further replies.

Top