tagged

hizi kunguru za tagged zingine 40 yrs old 50 yrs 23yrs and Zote ziko single… Wasee waliacha kudate na kuoa?

uliza @Meria Mata

Nani amekwambia wako single? You’re being baited.

Tagged ni dustbin ya dating. Wewe ni chokosh ukikula kutoka hapo.

Thats an online brothel ma bro, wewe kula vitu na ukanyage lami.

Kuna dame mkamba nilipata hapo na ni ka dry fry nikikuonyesha photo take hautaamini dem mrembo hivo anaweza kuwa huko tagged we we kama ulipata chokosh huko bahati mbaya buda .

thro pass buda

Ata wewe mwenyewe umesema hukuamini ametoka Tagged. Alafu ata umeogopa kupost picha, kwa hivyo najua tu hiyo ni hekaya

Hata mimi kuna mkamba nilidry fry kutoka tagged.Wako anaishi Langata?

Yes , eh usiseme tulisalimiana .

Siwezi anika photo ya mtu hapa hio ni upussy

anajiita aje pale tagged… nmejoin leo huko ebu nipee ma tips

anaitwa kamene kasyoka katii

Initials zake ni C.M na anafanya aviation industry?

Aids is real.

Nangoja aconfirm initials zake ndio nijue kama tumesalimiana.This would be the fourth chic nimesalimiana na ktalker