Talkers financial status

Leo ni liquid cash only… assembled on the go ya mpesa ama kitu kama io…

mimi niko na acounts mbili saa ii ziko na 250k liquid

chokoraa @johntez addi gaza msafi aliFloss na $400

@Azor Ahai wekelea birionea

@Tom Bayeye uko na ngapi liquid wewe kama certified birionea
@hakimoto ni fala ya ocha
@Wanaruona ya ticket ya ukraine hana

mtu hujipanga aje …

liquid cash kama mafioso…
assets huwezi beba na mgongo
@Thirimaii ako na 1k
@Jimit hatuongei… baba anawahi

@ChifuMbitika wekelea kwa meza na ubebe @Jura
nilisahau agemate banker @uwesmake

@Motokubwa ni stock ya busheri na rental ya ngiri mbili

[ATTACH=full]440175[/ATTACH]

Niko na Ksh 9 bob kwa Mpesa na sisumbui.

liquid ile unaweza piga mjinga risasi na uhepe UG

:meffi:

I usually don’t have money in my chequing juu pesa zangu huingia Kama zimetoka kwenda kutengeneza pesa zingine.

Lakini I have overdraft facility ya ksh2.5M

niko na 2k mbele na nyuma

2500 Usd chini ya matress, plus mshawari ya 40,000… of which i have never yet it keeps rising.

We already concluded that chifumbitika is a broke idle old fat man living in a fantasy

Money is not a store of value its a medium of exchange. Saa hii kukiwa na super inflation hio pesa hata haiwezi nunua mkate.

Niko na fuliza tu

True

mtu huweka ya kuingia forest immediately…
ukisikia mtu anataka kichwa yako ile hugwes rudi nyuma

Nasema ii sasa, unachomoka bila kurudi nyuma

Io OD iko sawa unaweza process na simu within 10 min utoe na kuingia boni forest ama urudi jela:D

Am lucky kuna stuff i bought 2 years ago. DOLLAR ikicheza 113. I could have ended up paying more. I had planned to save hio doo. Ni nunue later.

are you serious? Don’t you have a wife and kids? i recall a story you narrated about you and your wife going through the mboch’s underwear to recover stolen sugar.

9000 USD mattress banking na satellite phone ya kuingia embobut incase kanuke.

Niko na 70/= kwa mpesa pekee na 70mb no expiry bundle sijagusa