Talkers, nani mwenye wazua? I'd like to buy that site and fix it.

Wazua has got so much potential but the owners ni kama are Raila. Penny pinchers ambao kutoa pesa and fix something ni ngumu.
Kama unajua the owners, ask them to reach out to yours truly. I’d like to make them an offer.

Inbox @Okiya .

Wazua is a sleeping giant.

Wacheni ibaki hivyo mtapeleka ubonobo huko

Bado iko stuck in 1998

Are you a domain flipper?

Wazua iko sawa, very mature content.

No

Kwani unataka pesa ya Raila ikusaidia na nini? By the way hii habit ya kutaja hand out from politicians ndo ni ujinga ya mwisho, work hard for your own money stupid!!

Wazua now on server hold, weka bid haraka haraka!

Mwenye Wazua mtafute Twirra